Karibu kwenye Mfumo wa Biashara
Kupitia hapa tunakuhakikishia data za biashara zako zipo salama kabisa. Utaweza kufuatilia biashara yako ukiwa popote duniani kwa kutumia kivinjari chochote upendacho.
Mfumo huu utakuwa na makundi mawili: Boss na Waajiriwa. Boss ataweza kutumia mfumo wote vyovyote atakavyo, wakati muajiriwa atafanya majukumu yake tu.
Kurasa 7 za Mfumo
- Overview - Kuona kwa ufupi biashara inaendaje.
- Product - Sehemu ya kupunguza product, kuuza, kufuta, na kurekebisha.
- Users - Sehemu ya kusajili wafanyakazi.(kwa sasa bado haitumiki itakuja mapema)
- Report - Sehemu ya kupata ripoti ya mwaka mzima na kuprint.
- Settings - Mpangilio wa akaunti na mfumo.
- Weekly - Sehemu ya kujaza ripoti ya wiki (lazima kila wiki). Pia, hapa kutakuwa na calculator.
- Messages - Sehemu ya kupokea jumbe mbalimbali.